Ibra Class afungukia changamoto za ughaibuni hadi kuwa mfalme ulingoni “MAISHA ya mwanadamu ni hadithi tu hapa duniani, basi ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa.” Hii ni moja ya nukuu zenye ujumbe mzito zilizowahi kutolewa na Rais wa Awamu ya pili...
PRIME Yanga yabeba mabilioni baada ya kutwaa Ligi Kuu, FA Fedha ndefu! Hivyo ndiyo unaweza kusema baada ya Yanga kufanikiwa kutwaa ubingwa wa FA ambao unawafanya wakusanye kitita kikubwa cha fedha msimu huu baada ya awali kuchukua kombe la Ligi Kuu Bara.
TETESI USAJILI BONGO: Simba yamtaka kiungo Mganda, Kennedy Juma... KLABU ya Simba iko kwenye mazungumzo ya kumpata aliyekuwa kiungo wa SC Villa Mganda, Kenneth Semakula ili kujiunga nao msimu ujao. Uongozi wa Simba unaamini kiungo huyo wanaweza kumpata kwa...
Utamu, utata Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 MSIMU wa 69 wa soka la Tanzania umekamilika kwa fainali ya Kombe la Shirikisho kufanyika visiwani Zanzibar na Yanga SC kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 6-5 baada ya dakika 120...
JICHO LA MWEWE: Taifa Stars ya Lunyamila na nidhamu ya Tshabalala WIKI moja tu iliyopita chupa zilikuwa mezani stori zikiwa mdomoni. Nilikuwa na Edibily Jonas Lunyamila baa fulani Mbezi Beach tukipiga stori za zamani. Bahati iliyoje. Huyu ndiye wale kina Diego...
PRIME Huko Simba Mafia wamerudi kazini, safu ya usajili yapanguliwa SIMBA imefanya maamuzi mazito. Tena kimyakimya. Imewarudisha kundini watu wanne muhimu ambao wanajua jinsi ya kufanya umafia kwenye usajili nchini Tanzania. Na ikawapa majukumu ya kusimamia shoo...
Ubishi wa Fei Toto, Muda kumalizwa Amaan Baada ya fainali hiyo kupelekwa Zanzibar, ni kama imeibua vita kubwa baina ya mashabiki wa Fei Toto na Mudathir ambao kila mmoja ametamba upande wake utaibuka na ushindi.
Mlandege yanyooshwa, Mafunzo yabanwa Zenji NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard Rock katika mfululizo wa mechi za lala...
Hilika arudi na bao, JKU hahishikiki Zenji BAADA ya kuzikosa mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokana na kuwa na majukumu ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa Saudia kucheza mechi mbili za kirafiki, straika Ibrahim Hamad...
Bocco misimu 16 ya kibabe, rekodi zampa heshima ALIYEKUWA mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Raphael Bocco ‘Adebayor’, ametangaza rasmi kustaafu soka la ushindani baada ya kucheza kwa misimu 16 mfululizo huku akijitengenezea umaarufu...
K'Ogalo yabeba tena, Ingwe yapigwa nyumbani HESABU zimekubali. Ndio, Gor Mahia imetwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) baada ya alasiri ya leo Jumapili kuinyuka Muhoroni Youth kwa mabao 3-0 na kufikisha pointi 67 zisizoweza...
Rashford, Osimhen wanasakwa huko PSG PARIS, UFARANSA: KYLIAN Mbappe ametimkia zake Real Madrid na jambo hilo limeacha pengo kubwa linalohitaji kuzibwa huko Paris Saint-Germain. Fowadi huyo Mfaransa mwenye umri wa miaka 25...